UWANJA WA HADISI ZA MAPENZ,USHAURI NA MAISHA KIUJUMLA

mapenzi nisehem moja wapo ya maisha ya mwanadam pia nisafari ndefu isiyokuwa nanahodha yaitaji Amani,furaha,upendo,ushauli na mengine mengi yanayo jitokeza katika jamii, tushirikiane jamenii katika kubadilishana mawazo kupeana changa moto mbalimbali namengine mengi yanayowezekana