MJINI MURANGA "NDIO HOME"

Asalam.a.w.w. Waislamu wa murang'a wanaalikwa mkutano hapa mjini madrasa tarehe 28 cku ya jumamosi mwezi huu wa pili mwaku huu 2015.agenda nikupanga mikakati ya hafla ya ijitmai ya eastafrica itakayo fanyika hapa murang'a.tafadhalini 2jitokeze kwani wingi ni nguvu na maoni ye2 yatakua ya umuhimu.shukran.