Bangi Kijijini

Myth inasema kwamba Bangi ikitumiwa, mtumiaji huwa HURU na kufanya lolote analonuia kulifanya. Kijiji hiki ni Maalumu kwa kuwa huru na kuongea lolote bila kujali mwingine atalichukuliaje. Philosophically tunaangalia Aesthetics zaidi

Ukichoshwa na mambo na kazi za Dunia, Mapenzi,Siasa na jamii kwa ujumla..... karibu huku Uongee lolote...!!!