Tueneze Injili

Tueneze Injili ni proup ilioanzishwa chini ya uweza wa Bwana wetu YESU CHRISTO, Kama jinsi alivyosema tukaieneze injili duniani pote. ukumbi huu unakupa furusa ya kulitangaza neno la MUNGU, Kupitia kwako wanaweza kukombolewa watu wengi na kuuona ufalme wa Mbinguni, kwa hiyo usisite kutupatia neno ambalo kwa uweza wa Roho mtakatifu linaishi ndani yako._______amen!____amen!___amen!!