KIVINGO YETU | KIJIJI CHETU <kisambaa asili yetu>

"Kampeni ya [{"TUSHIRIKIANE KUIOKOA KIVINGO YETU"}] "Kijiji chetu kina ukame sana kwa sasa, ni kipi kimetokea, na ni vp tufanye kuirejesha rutuba na uoto wa asi wa eneo leto, mfano kitongoji cha kivingo miti inakatwa sana kwa sababu ya kuchomea matofali, mvua zimekua haba daima, [{"TUSHAURIANE KUIOKOA KIVINGO YETU"}] "Hii ni kampeni nainzisha kukirejeshea hadhi za mazao na mengineyo ktk eneo letu. Karibu nawe tushirikiane.