CONTITUENCY YA RUNYENJE{youths.com}

Machizi walikuwa wamekaa
mahali flani......by coincident a
plane happened to pass in sky...
Chizi wa kwanza: ile ndege
imebeba president Uhuru..
Chizi wa pili : hapana!! Iyo ndege
imebeba watu wa
kawaida,....kam a ingekuwa
imebeba presdent Uhuru,
ungeona mapiki piki mbele..