KIJIJI CHA IHUMWA

Escrow
Swala hili limeumiza wengi na limeshika kasi pande na kona zote ndani na nje ya nchi .
kikubwa leo tutaongelea "Jinsi ya kuzuia ufisadi" na " Hatari zitokanazo na ufisadi". ( 1.ufisadi ni nini ? , 2.Je ni hatua gani zimechukuliwa ? , 3.Je ni kwa muda gani ufisadi umekuwepo ? –yote tutayajadili ila leo ni SULUHISHO ndio linahitajika na sio KULALAMIKA )
KWA LEO TUJADILI MBINU ZIPI ZITUMIKE KUPUNGUZA NA KUTOKOMEZA WIZI,UPORAJI,UNYANG’ANYIWA FEDHA ZA UMMA ???