Okoa vijana kijiji cha lengijave dhidi ya umaskini

ndugu wana lengijave hususan vijana andika kitu chenye manufaa kwa vijana wenzio ikiwepo kujulishana matukio mazuri yenye kutulinda kwa maisha yajayo. kumbuka mimi kama mwenyekiti siitaji siasa, matusi wala maneno ya kichochezi katika ukurasa huu. pia nakumbusha kuwa werevu watutafutie cku ya kukutana tujulishane mambo mazuri kwa ajili ya maendeleo yetu vijan na kijiji kwa ujumla. toeni maoni wakubwa kwa wadogo ilimradi tu iwe ni maneno yenye hekima. all da best bye MESIAKI TOIWOKI KIMESERA 0766766716.