Kisima Cha Mashairi

Karibuni waungwana,Karibuni kwenye vina
Mashairi kama hina, tawang'arisha kwa sana
Wazee hata vijana,wavulana wasichana
Vina origino sana, vya wabongo si wachina!

@2013 HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA. HAIRUHUSIWI KUNAKILI AU KUTUMIA MASHAIRI YALIYOMO HUMU MAHALI POPOTE BILA RUHUSA YA ADMIN AU MWANDISHI HUSIKA