BIDII YETU ITAINGIZA CHADEMA MADARAKANI

Inatulazimu kujibidiisha kadri tuwezavyo katika kuimarisha, kuboresha chama chetu cha CHADEMA kwa lengo la kukiingiza madarakani kwani hii ndio njia ya kipekee itakayoleta mabadiriko ya kweli; mabadiriko yatakayo onekana machoni na kuhisiwa hadi moyoni.
Pamoja tunaweza!