Kuna Kijiji Kimoja - Kiriari

Mara ya mwisho mimi na wewe
Kuonana kipindi kile twasoma
Shule ya msingi kiriari
Najua ulinipenda
Ila hukutaka penzi kulilinda
Ungesema mapema
Iliniuma sana
Mimi leo niko ruraya
Aliniyenipenda nishamuoa
Je wataka kumjua jina?
Aitwa *****
Rudi home wewe
rudi nyumbani
wasalimie Kiriari
Waambie nishaoa