VIJANA WOTE WALIOISHI LUGALO BARRACKS,AREA A,B,C,D,E,H,J,K,PMQ

MAUDHUI YA HILI GROUP
1.KUJUANA/KUFAHAMIANA VIJANA WOTE TULIOWAHI KUISHI LUGALO BARRACKS.
2.KUSAIDIANA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI YANAYO TUHUSU.
3.KUPEANA TAARIFA MBALIMBALI MUHIMU ZINAZOTUHUSU VIJANA WOTE TULIOWAHI KUISHI LUGALO BARRACKS.
4.KUKUMBUSHANA MAMBO MBALIMBALI YALIYOWAHI KUTOKEA PINDI TULIPOKUA TUNAISHI LUGALO BARRACKS.