MAFINGA Platform

Mafinga platform ni mkusanyiko wa wadau wanaoishi mafinga,waliowahi kuishi mafinga au wale wenye mapenzi mema na mafinga. Hii ni sehemu ya kubadirishana mawazo,kufahamiana, networking,kupeana taarifa,kushiriki mijadala na changamoto mbalimbali kwa maendeleo ya mafinga kwa ujumla zaid ni sehemu ya kufurahi pamoja. Mafinga platfom haina dini wala kabila ni yetu sote, ustaarabu,upendo na ukarimu ni mambo ya msingi kuyazingatia. karibuni nyote katika sehemu yetu ya kubadirishana uzoefu MAFINGA PLATFORM SISI NI FAMILIA MOJA.