UWANJA WA MICHEZO NA BURUDANI

UWANJA WA MICHEZO NA BURUDANI


Group hii imeanzishwa kama njia mojawapo ya:-
1. Kuwakutanisha vijana na watanznia na wasio watanzania ili kufahmiana.
2. Kubadilishana mawazo, kushauriana, Kimichezo na kiburudani
3. Kujenga amani na mshikamano kwa maslahi ya Nchi na Jamii.
4. Kukemea maovu, kama Rushwa, Ufisadi, uchochezi, na ubinafsi kaTika Ngazi ya michezo na burudani


MAMBO YASIYOTAKIWA
1 MATUSI,

2 KASHFA ZISIZO NA USHAHIDI,