UWANJA WA SIASA

Karibu Uwanja wa Siasa

Ni Group la kisiasa linaowawezesha wananchi kujitambua
Katika taifa lake juu ya uongozi na maisha ya siasa,
1/ Group la kisiasa kuchambua utawala unaeleza mgawanyo wa madaraka na
majukumu ya vyombo mbalimbali vya dola,
2/Group la kisiasa kusimamia sheria na mwongoza wa shughuli zote kisheria
ambao ndio chimbuko la sheria zote nchini na sio kuongoza Sheria za mtu frani kwamba yeye ni kiongozi,
3/Group la kisiasa tunatakiwa kusimamia sheria na kusimamia sehemu yoyote,
Grroup la kisiasa kujua muafaka wa kitaifa juu ya namna ya kuendesha mambo
katika nchi,

Muhimu
1/Tutatoa mawazo mbalimbali katika group letu katika mambo mbalimbali juu ya taifa letu na mataifa mbalimbali Duniani juu ya siasa
2Tutafahamu juu ya ufahamu wa watu mbalimbali juu ya kutoa mada mbalimbali na uchangiaji wa mada mbalimbali katika group letu,
3/Matusi,kashfa,uchochezi wa mambo ambayo ni hasara kwa taifa ,kudanganya katika hoja mbalimbali si vyema katika group hili,
4/kuweza kufahamiana kama vijana au wazee na kupeana mawazo na ushauri mbalimbali juu ya mambo ya siasa kwani amna ambaye ametimia kwa kila kitu,
5/Kuandaa mijadala mbalimbali ya kisiasa ndani ya group letu na nje ya group letu yani kuweza kupanga sehemu na kuweka kutafuta mada ambazo chachu juu ya taifa letu

By Uongozi Uwanja wa siasa.