ELIMU NA MATENDO

ELIMU na MATENDO ni group yenye malengo ya kufundishana na kusaidiana nje na ndani ya FACEBOOK, Tufundishe lile unalolijua wewe midhari liwe ktk njia ya kheir nasi tutalichukua na kuliweka ktk matendo yetu ya kila siku ndani ya maisha yetu, na In shaa Allah ALLAH atakulipa kwa elimu yako uliyotugawia.