KIARA SEC. 2007-2010 kutana na wadau wa KIARA SEC. miaka ya 2007-2010

Kutana na wadau mbalimbali wa KIARA SECONDARY kati ya miaka ya 2007,2008,2009, na 2010....shea mambo yaliyopita na yaliyopo, tubadilishane mawazo na kushea vichekesho mbalimbali...tudumishe umoja pamoja na kukumbukana..