VIJANA-KENYA AMANI

Natujenge taifa letu
Ee ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani. Let us be committed to eradicate corruption in the management of of our county resources. Only when all the resources are safe will it be easy to implement the mandate the mandate that people of Kenya want.....
Mimi na wewe twaweza chukua Kenya mbali......