Zanzibar Ferry Accident: Daima Tupo Pamoja.

Hiki ni kikundi cha kukumbuka Watanzania wenzetu walio jeruhiwa au kufa kwenye ajali ya boti September/10/2011. Tuna taka Watanzania tuje pamoja kuombea waliokufa, kuwasaidia walio jeruhiwa na kudai serikali iwajibishe walio sababisha ajali hiyo.