AMINA MWIDAU 2015

Amina Mwidau ni Mbunge wa Mkoa wa Tanga ambaye asili yake ni wilayani PANGANI katika kijiji cha KIPUMBWI ambapo alianza kusoma elimu yake ya msingi.

Lengo kubwa la kuweka group hili ni kuwaunganisha watanzania pamoja na watu wa PANGANI katika kujua shughuli za kimaendeleo anazozifanya Mheshimiwa Amina Mwidau.

Mnaweza kuwasiliana na mimi kupitia [email protected]