Mtu yoyote anapewa ruhsa ya kuweza kupeana udvice kwa maboyz niya yetu ni kufundishana kupeana mawaidha tuweze kumaliza uwizi katika eneo letu la kibra.