Safari ya Kupunguza Uzito/Journey To Ideal Weight

Free group jamani
Dhumuni la group ni kupunguza uzito na kufika uzito unatakiwa kuwa nao kwa kuzingatia urefu ulionao.
Mambo ya kuzingatia kufikia safari yetu hiyo
1. Mazoezi.
2. Healthy eating.
3. Diet.

Visivyoruhusiwa
1. Kutumia madawa ya kujipunguza.

Matangazo.
1. Siku ya matangazo ni ya aina yote isipokua madawa ya kupunguza mwili ni jumamosi tu.