KIJIWE CHA STORY MCHANGANYIKO

SHERIA ZA GROUP
1.WANAKIJIWE WA STORY MCHANGANYIKO wanatakiwa kuheshimu uongozi wa group uliopo madarakani pamoja na maamuzi ya uongozi.
2.LUGHA SITAHIKI/MATUSI hatuna budi kuheshimiana ndani ya kikundi SI RUKSA kutowa lugha kali yenye matusi kwa mwanakikundi mwenzako au kumshambuli mwanachama mwenzako kwa lugha kali(matusi) kwa kutofautiana mtizamo.
3.UONGOZI uanayo haki ya kumfuta au kumshimamisha uanachama mwanakikundi yeyote atakayekiuka sheria za kikundi,baada ya kushauriana na UONGOZI NA WANACHAMA WA KUNDI HILI.
4.MWANACHAMA pia anaruksa ya kuwa mlinzi wa mwanzake, pale tu utakapoona ametowa lugha ya matusi basi mara moja wasilisha kwa UONGOZI.
5.KWA PAMOJA wanakikundi hawana budi kudumisha UPENDO,AMANI na zaidi kuonesha ushirikiano wakati wa matatizo na wakati wa faraja.
MALENGO.
Lengo kua ni kuwaa na FAMILIA MOJA yenye upendo na kuheshimiana kupitia kundi letu hili.